Proverbs 31:8-9


8 a“Sema kwa ajili ya wale wasioweza kujisemea,
kwa ajili ya haki za wote walioachwa ukiwa.
9 bSema na uamue kwa haki,
tetea haki za maskini na wahitaji.”
Copyright information for SwhNEN